Simba Wapata Pigo, Mutale nje ya Uwanja kwa Wiki Mbili....

Simba Wapata Pigo, Mutale nje ya Uwanja kwa Wiki Mbili....


Daktari wa Simba SC Edwin Kagabo amesema kiungo mshambuliaji Joshua Mutale atakuwa nje ya uwanja kwa wiki mbili
kuuguza jeraha lililokuwa linamsumbua.

Mutale alipata maumivu ya nyama za paja katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Tabora United uliopigwa katika Uwanja wa KMC Agosti 18.

Dkt. Kagabo amesema Mutale hajapata majeraha makubwa lakini ili kumlinda asiumie zaidi atakuwa nje ya uwanja kwa muda huo.


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/DF2rwsl
via IFTTT

Post a Comment

Previous Post Next Post