Ujio wa Kocha Mpya Yanga, Farid Mussa na Sure Boy Wanaonekana kuwa na furaha sana.

Ujio wa Kocha Mpya Yanga, Farid Mussa na Sure Boy Wanaonekana kuwa na furaha sana.


Wanetu Farid Mussa na Sure Boy wanaonekana kuwa na furaha sana.

Siku zote ujio wa kocha mpya huwa unafufua matumaini ya kila mchezaji kwenye timu.

Chini ya Gamond,nyota kama SureBoy,Mussa na Baleke hawakuwa na nafasi kwenye kikosi cha kwanza cha Yanga Ila baada ya ujio Wa Ramovic Wachezaji wote ni sawa,kila Mtu atapambana kivyake ili kuingia kwenye timu.

Hapo Ramovic hajui Star ni nani mpaka ajionee mwenyewe kwenye uwanja wa mazoezi.

Hizo ni miongoni mwa faida za ujio Wa kocha mpya.



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/DKI9Yh3
via IFTTT

Post a Comment

Previous Post Next Post