Simba inakutana na Sfaxien, timu ambayo haijashinda mechi yoyote katika kundi hilo baada ya kupoteza michezo mitatu ikishika mkia bila pointi yoyote. Kucheza mechi ya leo bila ya mashabiki inaweza kuwa nafuu kwa Simba katika kuifukuzia rekodi yao ya kucheza robo fainali kwa mara ya sita katika kipindi cha misimu saba kuanzia 2018/19. Kila la kheri Wenyenchi Simba
from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/NSWPH1j
via IFTTT