Edo Kumwembe: Tuipongeze Simba, Wanaweza Kufika Fainali, Wachezaji Wapya Noma

Simba

Edo Kumwembe: Tuipongeze Simba, Wanaweza Kufika Fainali, Wachezaji Wapya Noma

Simba imebadilika zaidi. Wanaweza kwenda hata fainali kama wakitaka. Wanacheza kwa kasi kubwa tofauti na msimu mmoja uliopita. Wachezaji wengi wapya wamekuwa muhimu katika kikosi cha Simba. Usajili wa safari hii haukukosewa sana na wachezaji wapya wamekuwa na mchango mkubwa.

.

Kocha Fadlu Davis naye amekuwa na mchango mkubwa ukiangalia namna timu inavyocheza unaona kabisa kuna kitu wanatafuta na kweli wanakipata. Mpira ni mchezo wa hadharani na sasa ni wakati wa kuwapongeza Simba kwa kurudisha makali” — Edo Kumwembe.



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/n3DQjM5
via IFTTT

Post a Comment

Previous Post Next Post