Mchezaji Aziz K Kuondoka Yanga Mwisho wa Msimu



Taarifa kutoka Kwa watubwa karibu wa kiungo wa Yanga SC, Stephan Aziz Ki zinaeleza kuwa nyota huyo huenda akaondoka viunga vya Jangwani mwishoni mwa msimu huu.

Tetesi zinaeleza kuwa nyota huyo Kwa sasa anataka kwenda kujaribu Changamoto mpya sehemu nyingine tofauti na Tanzania.


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/1UGScFI
via IFTTT

Post a Comment

Previous Post Next Post