Huu ni Msimu Ngumu Kwa Yanga, Wakitwaa Ubingwa Wafanye Sherehe Kubwa Sana....




HUU NI MSIMU MGUMU KWA YANGA!

Imagine kwenye mechi 18 za kwanza za Ligi wachezaji wa Yanga wamefundishwa na walimu watatu tofauti✍️

Kila mwalimu anakuja na idea zake na pia anahitaji muda wa kupandikiza vitu vyake✍️

Unatoka kwa Gamondi ambae ni muumini wa “Possession based Football” unakwenda kwa Ramovic ambae ni muumini wa Direct Football” kisha anakwenda kwa Hamdi ambae mpaka sasa hatujui Falsafa yake kwani leo haijaonekana.

Wakati unasubiri idea za kocha mpya zifanye kazi ligi inachanja mbuga kwa kasi ya ajabu sana.

Msimu huu Yanga wana mapito mengi,kama watatwaa ubingwa sherehe ziwe kubwa🙌

Hansrafael



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/VUFOQhe
via IFTTT

Post a Comment

Previous Post Next Post